1 Chronicles 1:32

Wazao Wa Ketura

32 aWana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa:
Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua.
Wana wa Yokshani walikuwa:
Sheba na Dedani.
Copyright information for SwhNEN